Msigwa 'amchongea' RC Hapi kwa Waziri Mkuu

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa.

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa ameendeleza vita yake na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi juu ya madai ya kutumia vibaya ofisi yake na kupelekea kushusha ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi wa umma mkoani Iringa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS