Thamani ya Mauzo ya Hisa kwa 2019 yafikia Bil.606

Thamani ya Mauzo ya Hisa sokoni kwa mwaka 2019, imeongezeka karibu mara mbili zaidi ya mwaka jana, ambapo kwa sasa imefikia bilioni 606.30, ukilinganisha na mauzo ya mwaka 2018 ambayo yalikuwa bilioni 208.36.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS