Kauli ya Bashiru Ally kuhusu 'Kazi na Bata'

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS