Polisi wafunguka 'kutekwa' wasaidizi wa Mnyika
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 2, akiwemo Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, aliyejulikana kwa jina la Abdulkarimu Muro na Saidi Haidani, ambaye pia ni Dereva wa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika.

