Rosa Ree ajitaja kuwa mwanamke wa mwaka 2019

Msanii wa HipHop nchini Rosa Ree.

Mmoja wa wasanii wa kike wanaofanya muziki wa HipHop nchini, Rosa Ree,amejitaja kuwa ndiye mwanamke bora wa mwaka kwa upande wake, kutokana na mengi mazuri aliyoyafanya ndani ya mwaka 2019.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS