Wini ajibu madai ya kuishi na mwanaume Dubai Msanii wa Muziki nchini, WinTz Msanii Wini amekanusha taarifa za kupelekwa na kuishi na mwanaume Dubai na kusema alikuwa na issue zake binafsi za kimuziki, licha ya kukaa huko kwa muda mrefu. Read more about Wini ajibu madai ya kuishi na mwanaume Dubai