Makundi ya mashabiki WhatsApp yalivyoiokoa Yanga Umoja wa Mashabiki wa Yanga wa Makundi ya WhatsApp wakiwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Dkt. Athumani Kihamia amesema kama isingekuwa Makundi ya WhatsApp, kuna mambo matatu yangetokea ndani ya Yanga. Read more about Makundi ya mashabiki WhatsApp yalivyoiokoa Yanga