Rais Magufuli atuma pole msiba wa Ali Mufuruki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ametuma salamu za pole kwa familia ya Ali Mufuruki, aliyeaga Dunia nchini Afrika Kusini, wakati akifanyiwa matibabu katika Hospitali ya Morningside, Jijini Johannesburg.