JPM awapiga 'Stop' Mabalozi kuaga hovyo hovyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amewazuia Mabalozi wanaowakilisha nchi katika Mataifa mengine, kuendelea na tabia ya kizamani ya kwenda kuaga kwa kila kiongozi wa Serikali.

