'Mahotelini kuna migogoro mingi' - Waziri Jenista
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, amezitaja Sekta zinazoogoza kwa kuwa na migogoro ya kikazi, na kupelekea kutumika vibaya kwa rasilimali muda kati ya Mwajiri na Mfanyakazi.