Rais wa Barcelona azidi kuwekwa matatani

Josep Maria Bartomeu (kushoto) na Joan Laporta

Wakati Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu akiendelea kuandamwa na shutma za kuachia ngazi, hali inazidi kutia hofu kwake baada ya Rais wa zamani wa klabu hiyo Joan Laporta kuonesha nia ya kuutaka urais.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS