Njombe: Mganga ajinyonga kwa kukiuka masharti
Katika hali isiyo ya kawaida mkazi mmoja wa mkoani Njombe aliyetambulika kwa jina la Kaido Mfilinga (30) aliedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji, amekutwa akiwa amejinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi wa kuomba msamaha kwa mizimu.