Samatta aeleza jinsi kocha anavyofuatilia mwenendo
Nyota wa klabu ya Aston Villa ya England na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta, amesema licha ya kuwa nyumbani wakati huu wa janga la Corona lakini anafanya mazoezi kutokana na maelekezo ya kocha.