"Akijichanganya mmoja naruka naye" - Barakah Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince Msanii Barakah The Prince ameeleza kuwa anamiliki akaunti ya mtandao wa Instagram ya mpenzi wake Najdattan, hivyo akikuta "message" yeyote ya msanii ambayo amemtumia mpenzi wake basi ataruka naye. Read more about "Akijichanganya mmoja naruka naye" - Barakah