Nikki Wa Pili aichambua miaka mitano ya Magufuli
Nikki Wa Pili ni msanii wa HipHop kutoka Weusi, pia jina lake linatajwa sana kuwa miongoni mwa wasanii wanaojihusisha na masuala ya kisiasa, kutokana na ushawishi wake kwenye jamii, vijana na maendeleo kwa ujumla.
