familia ya Jaji Ramadhani yaelezea kifo chake
Mtoto wa Binamu wa Jaji Mstaafu wa Tanzania Augustino Ramadhani, Yakud Ramadhani ameeleza kifo cha Jaji Ramadhani na kusema kuwa alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, ambapo pia hata kabla ya mauti kumfika aliwahi kwenda kutibiwa nchini Kenya.