Waliowekwa Karantini watishia kujiua kisa pesa
Baadhi ya raia waliowekwa Karantini eneo la Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, wamezua tafrani baada ya kutishia kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, wakidai kunyanyaswa na Serikali wakilazimishwa kulipa ada ya Karantini.