DC atamani JPM awekwe kwenye vitabu vya Guinness
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi amesema kuwa Rais Magufuli anapaswa kuingizwa kwenye vitabu vya Guinness, vitabu ambavyo vimesheheni maajabu na historia ambazo zimevunja rekodi kwa Dunia nzima.

