Mobetto adai kuwa kwenye mahusiano ya pande mbili Msanii Hamisa Mobetto Kwa wasanii wengi wa hapa nchini ukiwauliza kuhusu mahusiano yao watakujibu kwamba yapo "private" yaani binafsi au mahusiano yao yapo "secrect" kwa maana yake ni ya siri. Read more about Mobetto adai kuwa kwenye mahusiano ya pande mbili