Waziri Mahiga afariki Dunia

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS