Rama Dee adai kupigwa vizinga na wasanii wa Bongo Mkali wa RnB Rama Dee Msanii mkongwe na mkali wa RnB Rama Dee, amesema kutokana na tatizo la Corona nchini Australia, limemfanya kukaa ndani kwa miezi miwili na kutokwenda kazini kwa muda wa miezi 6. Read more about Rama Dee adai kupigwa vizinga na wasanii wa Bongo