Young Killer amemwandikia Wolper Dedication ? Wolper na Young Killer Msanii wa HipHop Bongo Young Killer amesema muigizaji Jacqueline Wolper ni miongoni mwa watu waliompongeza kwa kazi yake mpya, A New Girlfriend Story. Read more about Young Killer amemwandikia Wolper Dedication ?