Majibu ya Silinde kuhusu kuhama CHADEMA Mbunge wa Jimbo la Momba David Silinde, Mbunge wa Jimbo la Momba David Silinde, amesema kama atahitaji kufanya maamuzi ya kuhama CHADEMA wakati ukifika atazungumza, lakini kwa sasa yanayozungumzwa ni maoni ya watu hawezi kuwaingilia. Read more about Majibu ya Silinde kuhusu kuhama CHADEMA