Harmonize afunguka ukimya wa Rich Mavoko Kushoto ni msanii Harmonize na kulia Rich Mavoko Staa wa BongoFleva Harmonize ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Instagram, kuhusu ukimya wa msanii mwenzake Rich Mavoko. Read more about Harmonize afunguka ukimya wa Rich Mavoko