Meya Ubungo atoa wito huu kwa Rais Magufuli
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ametoa wito kwa Rais Magufuli, kuingilia kati sakata la ubadhirifu wa fedha za vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wa Tsh Bil 1.6, katika Manispaa ya Ubungo, fedha ambazo zimepelekea yeye kuwekewa figisu za kuondolewa kwenye nyadhifa zake.