Baada ya TID, Blue na Harmonize sasa zamu ya Wema Mrembo na msanii wa filamu Wema Sepetu Staa wa filamu na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, amesema endapo Corona ikiisha na utalii wa ndani ukianza, atataka aitwe jina la mnyama Twiga huku akilikataa jina la Nyumbu. Read more about Baada ya TID, Blue na Harmonize sasa zamu ya Wema