Wafanyabiashara Simiyu wakubali kuuza sukari 1,900
Wafanyabiashara wa sukari Wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu, wametangaza kushusha bei ya bidhaa hiyo kutoka Sh 3,200 kwa kilo moja ilivyokuwa ikiuzwa awali, hadi Sh 1,900, ili kutii maagizo ya Serikali.