Mtoto atoa moto wa ajabu unaounguza vitu ndani
Familia moja inayopatikana Kinyanambo A Halmashauri ya mji wa Mafinga mkoani Iringa, imelazimika kuishi katika mazingira magumu na ya hofu baada ya mmoja wa Watoto wa familia hiyo kuwa na nguvu ajabu inayotoa moto unaounguza vitu vya ndani.