Mwanza: Baba wa miaka 50, abaka na kulawiti watoto
Mwanaume mmoja anayefahamika kama Felix Rwechungura mkazi wa Isamilo Msikitini, mkoani Mwanza, anatuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti kwa nyakati tofauti, watoto watano wenye umri wa miaka sita na miaka saba na kuwaharibu vibaya.

