Azam,Yanga vitani leo VPL,na ratiba yote ipo hapa.
Patashika ya ligi kuu Tanzania bara raundi ya 35 itaendelea leo kwa mitanange 6 kupigwa ambapo klabu ya Namungo ambao wapo katika nafasi ya 4 na alama zao 60,wataialika Mbeya City iliyo katika nafasi ya 16 na alama zake 39 mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Majaliwa.

