Bilioni 1.2 za wakulima Tabora zatafunwa
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa iliyotolewa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ikihusisha watumishi wa umma na wengine 15 na Afisa Mikopo wa Benki ya NMB waliopiga fedha za tumbaku zaidi ya shilingi bilioni 1.2 mkoani Tabora.