Halo enewz naitwa Luqman Mudi Bellino naishi ZANZIBAR. nampa hala 5 babu yangu MZEE NGORY akiwa pale MOSHI KALOLENI,B.O.B the dreamerz swaz & mello pale KALOLENI.Baba yangu mdogo aliyepo Zanzibar anaitwa MUDI. bila kumsahau mama na baba yangu.
Ahmed aka Baba Najlah
Tano flan hv tokea Masasi Mtwara niite Ahmed Mpaka a.k.a baba Najlah.
Juma Michael
Niaje kaka Dominic kwa jina naitwa Juma Michael Mwanaharakati toka nzega Tabora halla 5 kwa Joshua TurukaTz, Stanley Mwani, Joseph Gabriel. Eatv tunawakilisha.