
Pichani ni Dupy Beatz na S2kizzy
Dupy Amekomenti katika post yetu EATV instagram tuliyopost kumuhusu S2kizzy kwa kuandika.... ''Wakati wake huu.. anakila haki ya kusema.. hakuna Kitu kizuri kama kujikubali, Dunia imejaa chuki.. be proud of yourself... Congratulations pia''
Mafanikio haya ya S2kizzy amejipima kwa ukubwa wa ngoma zote ambazo amezifanya kwa kipindi cha miaka zaidi ya sita katika game ya muziki ambazo kwa asilimia kubwa zimevuka mipaka ya Afrika Mashariki.