Jumanne , 15th Oct , 2024

Kwa Mujibu wa Jarida la Saikolojia ya Familia 'Journal of Family Psychology' umebaini ukiwa na dada kwenye familia kunaweza ku-boost afya yako ya akili na kuongeza kujithamini katika maisha.

Picha ya Alikiba na Diamond Platnumz wakiwa na dada zao

Pia watafiti wa Chuo Kikuu cha Brigham Young Marekani wamegundua kwamba kina dada hutoa usaidizi wa kihisia, kusaidia kuwalinda ndugu zao kutokana na hisia za upweke, hatia, kujistahi na uwoga.

Pichani ni mastaa wa muziki Alikiba na Diamond Platnumz wakiwa na dada zao Zabibu Kiba na Esma Platnumz.