Ijumaa , 9th Aug , 2024

Mazuu ambaye wengi wetu tunamfahamu zaidi kama Mazuu Record amefunguka kwa mara ya kwanza ugumu waliyopitia na msanii Rich Mavoko kwani ilifika kipindi watu walitoa pesa ili nyimbo za Rich Mavoko zisichezwe kwenye vituo vya Redio na Luninga ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

 

 

 

Katika ngoma ambayo ilitusumbua sisi ni roho yangu, iliwekewea hadi vikao na hela ili isipigwe redio zote, Mimi na meneja wa Mavoko tulikaa tukaumiza kichwa ikafika mahala tukasema ngoja tutoe ngoma nyingine ya pili'' - Mtayarishaji wa muziki Mazuurecord kwenye mahojiano na PlanetBongo ya EastAfricaRadio