
Kenya
Maandamano hayo yanayoongozwa na vijana wanaojiita 'Gen Z' yanapinga kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024/2025 wakieleza kuwa unakandamiza Wakenya walio wengi.
Aidha imeelezwa baadhi ya waandamanaji hao waliopenya bungeni wameanza kula chakula cha wabunge kisha waendelee kuandamana