Pichani Zest Harmonize na Ibraah
"Sijajua kama wameshashoot ila kiukweli Friendzone ni bonge moja la ngoma nazopenda kuzisikiliza,idea na production ni kali sana kwahiyo natamani nione video'' Ameandika Zest sound killer
"Naamini Harmonize Ibraah ni mdogo wake kama (Ibraah) amemkosea anaweza tu akamsamehe na mambo yakaendelea,napenda kuona wakiwa wanafanya kazi pamoja''Ameandika Zest sound killer




