Picha ya Davido na mkewe Chioma
“Nilikutana na mke wangu kabla sijakuwa na pesa. Tulianza na urafiki akiwa yupo Single, isingekuwa sawa kama ningekutana naye kama nilivyokuwa Davido huyu wa sasa hivi kwa sababu nina pesa”.
“Mafanikio yangu yote ya sasa yamekuja na watu ambao wamenizunguka kipindi sina kitu, hicho ni kitu kizuri sana”.