Picha ya Davido na Wizkid
"Afrobeats hutumika kuelezea muziki uliotengenezwa na msanii wa Kiafrika" - anasema Davido
Wizkid anadai haina maana yeye kutambulika kama msanii wa Afrobeats pekee kwa sababu anafanya muziki wa aina nyingi pia ni msanii kuliko kitu kingine chochote na sanaa ni ya ukweli.