Jumamosi , 17th Feb , 2024

Aliyekuwa msanii wa BongoFlava Richard amefariki dunia siku hii ya leo huku chanzo cha kifo chake kikitajwa ni uvimbe kwenye koo.

Picha ya Richard

Richard alifahamika zaidi baada ya kutamba na ngoma ya ‘Basi Imba’ akiwa na Tundaman iliyotoka miaka 12 iliyopita.

 

Zaidi msikilize hapa mtu wa karibu na marehemu Richard akizungumza kuhusu kifo chake.