Picha ya Caren Simba
Akipiga story kupitia EATV & EA Radio Digital Caren Simba anasema Shepu yake hiyo ni Original na imeanza kubwa baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza hali iliyofanya mwili wake kutanuka.
Muigizaji na Fashion Model Caren Simba anasema baadhi ya watu wanamuonea wivu shepu ya umbo lake ndio maana wanatoa comments za kumdiss mitandaoni kama ni shepu feki na kufanya surgery ya mwili.