
Sehemu ulipokutwa mwili wa Devotha
Na kwamba kutokana na ugomvi waliokuwa nao kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro Alex Mkama, amesema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana Desemba 12, 2023, ambapo mume baada ya kumuua mkewe na mwili wake kwenda kuutupa na yeye alienda kujiua katika eneo la Bigwa mkoani humo.
Katika eneo ulipokutwa mwili wa Devotha kulikuwa na kisu kilichotapakaa damu pamoja na simu ndogo ya kitochi, huku mwili wake huo ukiwa na jeraha usoni pamoja na mkononi.