Picha ya Alikiba na Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz amesema mbele ya Alikiba hayo wakati akiwa GYM na Trainer wao Denzel. Zaidi tazama hapo chini kwenye video.
Mr PKP Ommy Dimpoz amemwambia Alikiba kuwa amepishana na gari la mshahara baada ya kuhamia Klabu ya Simba SC ambayo imechezea goli 5-0 dhidi ya watani zao wa jadi Yanga SC.
Picha ya Alikiba na Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz amesema mbele ya Alikiba hayo wakati akiwa GYM na Trainer wao Denzel. Zaidi tazama hapo chini kwenye video.