Jumamosi , 4th Nov , 2023

Mwanamuziki wa Nigeria Jay Willz ameiambia show ya 'Friday Night Live' ya East Africa TV na East Africa Radio kuwa Diamond Platnumz ni Super star nchini kwao akifuatiwa na Harmonize na Zuchu.

Picha ya Jay Willz na Diamond Platnumz

Jay Willz na Diamond Platnumz tayari washafanya ngoma ya pamoja ya Melody.

Tazama hapa kwenye video msanii huyo wa Nigeria akizungumzia ukubwa wa Diamond Platnumz, Harmonize na Zuchu nchini kwao.