
Picha ya msanii Beka Flavour
Beka Flavour amefunguka hilo kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio inayoruka kila siku ya J3 mpaka Ijumaa kuanzia 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.
Zaidi tazama hapo chini kwenye video inteview nzima aliyofanya.