Msanii wa muziki wa injili nchini Tanzania Emmanuel Mbasha
Emmanuel amesema kuwa, rekodi ambazo zipo katika albam hiyo zinabeba ujumbe wa kutia moyo ikiwa ni msukumo alioupata kutoka katika matatizo ambayo amekuwa akipitia, na hapa anaeleza mwenyewe juu ya kazi hiyo.