Picha ya pacha wa Diamond na Harmonize wakiwa pamoja
Jamaa hao wanatumia majina ya pacha wa Diamond Platnumz na pacha wa Harmonize, zaidi watazame hapa chini kwenye video wakiiga vitu wanavyofanya Diamond na Harmonize.
Kutoka katika mitandao (KKM) hii hapa ni video ikiwaonesha jamaa wawili waliofanana mionekano kama mastaa wa mziki nchini Diamond Platnumz na Harmonize.