
Akizungumza leo jijini Dar es salaam wakati wa kikao cha tathimini juu ya maonesho ya 46 ya kimataifa ya biashara yaliofanyika mwezi Julai mwaka huu Kaimu Mkurugenzi wa idara ya ukuzaji biashara kutoka tantrade Fortunatus
Muhambe amesema TANTRADE wanaendelea kufanya marekebisho baada ya maoni ya wadau ikiwemo kulalamikia changamoto ya miundombinu. vyoo. na siku za maonesho ambapo kuhusu siku za maonesho bado wataendelea kujadiliana na wizara.
Kwa upande wake kaimu mkurugenzi wa mamalaka ya biashara tantrade twilumba mlelwa amesema maonesho ya kimataifa ya 46 yaliomalizika mwesi julai mwaka huu yamekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo ongeseko la washiriki wa ndani na nje huku pia yakionekana kukua katika utoaji elimu kwa wqfanayabaishara.
Nao baadhi ya wadau wa mamlaka ya baishara nchini tantrade wamesema changamoto kubwa katika maonesho ya kimataifa ya baishara ni pa moja na miundombinu kuwa mibovu.kodi kubwa pa moja na na meneo mwngìne ambayo ymekuwa kikwazo kwa washiriki.
Katika maonesho ya kimataifa ya 46 ya baihsara yaliohitimishwa julai mwaka huu jumla ya wahudhuliaje lakitatu walishiriki .huku makampuni ya ndani yakiongezeka na kufikia 76 kati ya makampuni 3200 yakioshiriki huku mikataba ya shilingi bilioni 176 ikisaniwa