
Picha ya Rhino King kushoto, kulia ni Harmonize
Leo msanii Rhino King kupitia page yake ya Instagram amemjibu Harmonize kwamba yupo tayari kwa pambano hilo.
"Ulitangaza nakujigamba kwamba uko fiti na unataka pambano na yeyote kwenye game, niko hapa Tyson Faru, tayari kabisa kwa pambano na wewe kivyovyote. Tangaza tarehe uliemtaka umeshampata no excuses please nishakutamani" ameandika Rhino King
Zaidi tazama hapa kwenye video.