
Picha ya Teksi inayopaa ya umeme inaonekana kama helikopta ikiwa na mabawa ya ndege
Tayari mpaka sasa kampuni ya Joby Aviation ya huko California, ambayo iko mstari wa mbele kuunda teksi zinazopaa imefanikiwa kufanya majaribio 1,000 kwa magari ya eVTOL.
Magari yanaweza kupaa kwa kuinuka na kutua kwa kushuka, na hivyo uwanja unaohitajika utakuwa wa aina mpya.